Mkurugenzi Wa Shule Ya Msingi MustLead Anawapongeza Wanafunzi Wote Wa MustLead na Tanzania Kwa Ujumla Kwa Kuhitimu Elimu Ya Msingi

Mkurugenzi Wa Shule Ya Msingi MustLead Anawapongeza Wanafunzi Wote Wa MustLead na Tanzania Kwa Ujumla Kwa Kuhitimu Elimu Ya Msingi, Mkurugenzi Peter Mkufya ameyasema hayo katika mahafali ya shule hiyo iliyopo Masugulu, Bagamoyo mkoani Pwani.

Pia Mkurugenzi Peter Mkufya Amewaasa wanafunzi wote waliohitimu darasa la 7 wasiingie katika makundi ya mitaani kipindi hiki wawapo majumbani badala yake wajiunge na masomo ya Pre Form One wakati wakisubiri matokeo yao.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *